shumbimadelu
Senior Member
- Jan 8, 2013
- 185
- 64
Jibu maswali haya kwanza ili nikushauri..
1: Ni mpenzi wa porn movies?
2: Vipi kuhusu kujichua (ie. pun.ye.to?)..ni muumini wa hicho kitu
Samahani kwa maswali haya ila hivyo vitu navyo husababisha hilo tatizo, hivyo ukinipatia jibu, naweza kukushauri vingine.
dah....wanasaikolojia wanahusika hapa.....
Na hilo ni jipya! Mwaka mpya na mambo mapya!
hii hali huwatokea mara nyingi kina mama sasa ni wababa sijui ndo gender balance hii back to topic..
mkuu jitahidi kula vyakula vya protein ili kuongeza hamu ya malovee na pia kama mdau wa pili alivosema kama ulikuwa wa kucheck porno sana husababisha pia jitahidi sana wakati wakuduu weka fikra na akili zako zote kwenye kinembe utafurahia sana heshima ya ndoa..
Jibu maswali haya kwanza ili nikushauri..
1: Ni mpenzi wa porn movies?
2: Vipi kuhusu kujichua (ie. pun.ye.to?)..ni muumini wa hicho kitu
Samahani kwa maswali haya ila hivyo vitu navyo husababisha hilo tatizo, hivyo ukinipatia jibu, naweza kukushauri vingine.
Ni kweli bro nilikuwa najichua sana hususani wakati nasoma secondary sababu o level na a level nilisomaga shule za bweni alaf ni wavulana tu tena nje kabsa ya mji so nilishindwa kucontrol hisia zangu.
Pia kweli huwa naangalia porno bt sijawa addicted na porno.

Sasa kama huhisi chochote unawezaje kudindisha!?maana umesema huhisi chochote na bado unaejaculate.
Ignorance is bliss!
3: pia huwa unaota usiku ukiwa unaDO na mwanamke?