naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote kuanzia miaka aliyozaliwa, chuo anachosomea, kozi anayosemea kifupi nusu ya maisha yake yote niuongo sasa basi juzi kuna mwanamke kamtext msg ya mapenzi kibaya nikaiona nikampigia huyo mwanamke akaniambia kuwa nimpenzi wake wa miaka mnne sasa. nikimuuliza mwanamme anakataa wakati mwanamke kaniambia kilakitu kuhusu yeye nifanyeje jamani kwani before hakuniambia kama alikua na mahusiano na mwanamke huyo na bado wakaendelea kuwasiliana kwa siri na yule mwanamke!

Dada Happy huu ntakaokupa ni mtazamo wangu,naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote kuanzia miaka aliyozaliwa, chuo anachosomea, kozi anayosemea kifupi nusu ya maisha yake yote niuongo sasa basi juzi kuna mwanamke kamtext msg ya mapenzi kibaya nikaiona nikampigia huyo mwanamke akaniambia kuwa nimpenzi wake wa miaka mnne sasa. nikimuuliza mwanamme anakataa wakati mwanamke kaniambia kilakitu kuhusu yeye nifanyeje jamani kwani before hakuniambia kama alikua na mahusiano na mwanamke huyo na bado wakaendelea kuwasiliana kwa siri na yule mwanamke!
Wewe unataka tukushauri jinsi ya kuishi naye au jinsi ya kichana naye?
Mbona vitu vingine haviihutaji ushauri ni maamuzi tu!
Haya take this:-
Huyo anakupenda ndio maana yuko na wewe, halafu mtoto wa kike huruhusiwi kuchunguza Simu za mwanaume. Past yake haina maana kama amekuzawadia present yake!
Soma mdogo wangu unaweza kupata kichaa bure kwa ajili ya mwanamme,si unakumbuka kale ka mgogoro kengine ulikoomba ushauri?naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote kuanzia miaka aliyozaliwa, chuo anachosomea, kozi anayosemea kifupi nusu ya maisha yake yote niuongo sasa basi juzi kuna mwanamke kamtext msg ya mapenzi kibaya nikaiona nikampigia huyo mwanamke akaniambia kuwa nimpenzi wake wa miaka mnne sasa. nikimuuliza mwanamme anakataa wakati mwanamke kaniambia kilakitu kuhusu yeye nifanyeje jamani kwani before hakuniambia kama alikua na mahusiano na mwanamke huyo na bado wakaendelea kuwasiliana kwa siri na yule mwanamke!
TUPA KULE
nachukia watu waongo mie, kha....