R rchaga Member Joined Feb 7, 2012 Posts 54 Reaction score 14 Mar 14, 2012 #1 Hivi hii simu aina ya Nokia E51 inadai kua ina uwezo wa kua kama Modem hivi unaunganisha je? Pia na WLAN na WI-FI unazitumia je! Ningeshukuru kwa msaada wenu
Hivi hii simu aina ya Nokia E51 inadai kua ina uwezo wa kua kama Modem hivi unaunganisha je? Pia na WLAN na WI-FI unazitumia je! Ningeshukuru kwa msaada wenu