Duh...computer yenye memory kubwa hivyo haitakiwi kufanya hivyo, inatumia built in speaker au external? huenda Sound Card ina shida jaribu kubadilisha au huenda kuna memory ina shida kama ina chip zaidi ya moja ya memory, bakiza moja washa computer na kujaribu kila moja kwa namna hiyo mpk upate yenye shida