Msaada jamani.

Sailor Boy

Senior Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
103
Reaction score
6
Habarini wana jf, mimi nina laptop ya acer 1410 naipenda sana ila kuna cku ilianguka na ikaua motherboard, naobeni mwenye nayo aniuzie ntashukuru sana.
 
Habarini wana jf, mimi nina laptop ya acer 1410 naipenda sana ila kuna cku ilianguka na ikaua motherboard, naobeni mwenye nayo aniuzie ntashukuru sana.

kama unahitaji motherboard agizia kutoka kwenye kampuni waliotengeneza laptop yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…