Mkuu mimi pia ninapata tatizo kama lako natumia A30 na ni laini ya halotel ilikuwa 3g now niliiswap kwenda 4g hii ndo tatizo mwanzo nilihangaika sana kujua tatizo ni nn mbona ni kwa halotel tu na sio kwa laini nyingine?? Ilikuwa kila ikiji off laini nina izima kwa airplane mode na baadae naiwasha airplane inakuwa poa naendelea na maisha baada ya masaa kama 2 au 3 inajirudia tena
Basi nikakumbuka kuwa inawekena ni hii 4G yao wanayoitest kwa iyo haija kaa sawa ndio maana inasumbua baada ya kubadilisha kule kweny cm yangu network kutoka kusoma lte yaani 4g na kuweka 3g only inapiga kazi fresh toka siku hiyo sjaona hilo tatizo tena mpaka leo nilijuaje haya mke wangu pia nae anatumia halotel na ana simu ya Samsung ila yy hajabadili kwenda 4g ha hakuwahi kupata wala kulalamika tatizo hili so nikawa nmekumbuka hilo ndo nikajaribu kuitoa 4g kwenda 3g only tatizo ndo likaisha ila nikirudisha 4g tu lile tatizo linaibuka tena kwa iyo nadhani hilo tatizo linawatokea sana watu walio badili laini za halotel kutoka 3g kwe da 4g, na wameset kweny cm zao network ya 4g au lte pia waje watupe mrejesho wote wakiswap lain zao kwwnda 4g.