kwetukijijini
Member
- May 20, 2018
- 37
- 26
Msaada wa kisheria jamani! Ninamkopo Bayport lakini NMB wapo ridhaa kunilipia mkopo huo, chakushangaza Bayport wanagoma kunipa barua ya balance yangu kwa kunidanganya danganya mara njoo kesho lakini ni miezi miwili sasa. Nifanyaje Jamani!