Msaada jamani, what should I do?

mh! Sijaelewa kitu, kama mwalimu wako kakufundisha hivo mwambie First Born hajaelewa kitu.

Hizi shule za kikwete bhana, simuongee kiswahili jamani? Mnajifanya mnaongea kithungu wakati kithungu chenyewe kimepakwa mavi!
 

Duuh! Hivi vizungu vyenu vya kizazi kipya tabu tupu. Kwa ufupi unajidanganya tu kuwa humpendi na unataka kujiaminisha hivyo. Lakini kila dalili zinaonyesha kuwa unampenda na yeye amekuzimia.
 
Ahaaaaaaaa....... kumbe unajua kiswahili, sasa hebu itafsiri sredi yako upate ushauri wa babu.....
 
mh! Sijaelewa kitu, kama mwalimu wako kakufundisha hivo mwambie First Born hajaelewa kitu.

Hizi shule za kikwete bhana, simuongee kiswahili jamani? Mnajifanya mnaongea kithungu wakati kithungu chenyewe kimepakwa mavi!
Kwani tuko darasani hapa, atleast he is trying na ameeleweka amemaanisha nini
 
...duh.ila usingetia kizungu,wengi zaidi wangekushauri!
 
kumbe hapo zamani za kale mzabzab alikuwa anaandikaga kingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…