wamidosho JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 456 Reaction score 424 Jul 8, 2015 #1 Habari zenu wana jf...simu yangu nilikuwa naicharge ilivyo jaa nikaizima kisha nikabadilisha laini.nilivyo jaribu kuiwasha tatizo inaandika nokia tu mda wote haireti menu ya simu...msaada tafathari jamani
Habari zenu wana jf...simu yangu nilikuwa naicharge ilivyo jaa nikaizima kisha nikabadilisha laini.nilivyo jaribu kuiwasha tatizo inaandika nokia tu mda wote haireti menu ya simu...msaada tafathari jamani
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Jul 8, 2015 #2 nokia x ipi? maana zipo nyingi. jaribu kuiformat na kama hujui andika full model ya simu yako hapa
wamidosho JF-Expert Member Joined Feb 16, 2015 Posts 456 Reaction score 424 Jul 9, 2015 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: nokia x ipi? maana zipo nyingi. jaribu kuiformat na kama hujui andika full model ya simu yako hapa Click to expand... model ni x DS
Chief-Mkwawa said: nokia x ipi? maana zipo nyingi. jaribu kuiformat na kama hujui andika full model ya simu yako hapa Click to expand... model ni x DS