jaman naomben msaada wa title za novel ambazo zina story nzuri , ambazo infact nita enjoy story na pia nita improve my English grammar.......please wana jamvi mnisaidie nikavinunue,ziwe za kiingereza, na nikipata na location ya bookshops zake itakuwa vyema, niko dar kwa siku mbili tu, then narudi peripheral
Kwa nini usome fictions ambazo hazina uhalisia wakati vitabu vya non fiction vipo lukuki na vitakusaidia si tu kuejoy bali kukuza maarifa na weledi wako?jaman naomben msaada wa title za novel ambazo zina story nzuri , ambazo infact nita enjoy story na pia nita improve my English grammar.......please wana jamvi mnisaidie nikavinunue,ziwe za kiingereza, na nikipata na location ya bookshops zake itakuwa vyema, niko dar kwa siku mbili tu, then narudi peripheral
Nenda maktaba ya taifa,tanganyika library iko posta pembeni ya mahakama ya kisutu,unalipia sh 1000 kwa siku,vitabu vipo bwelele,ukitaka kununua nenda novel idea iko posta karibu na mgahawa wa Steers.
Kama una android smartphone au tablet download application inaitwa ebook 10000+,,utapata all the latest fiction and non fiction books for free lwa ajili ya kusoma kwenye sim au tablet yako
Kwa nini usome fictions ambazo hazina uhalisia wakati vitabu vya non fiction vipo lukuki na vitakusaidia si tu kuejoy bali kukuza maarifa na weledi wako?
Rihana
You have a point,lakini kwa swala la kuimprove english fictional stories could be much better.
Mimi nilikuwa najua kumtandika mtoto matakoni ni kumbeat au hit mpaka nilipokutana na fictional story ndo nikajua ni ku spank, and much more.
All the best,ingine niliyokutana nayo na jina la wale wanafunzi wasioelewa masomo hata kwa maombi,mi nilikuwa nawaita mafool au very wrongly slow leaner-sababu most do not become learned in the end.wanaitwa ma dunce.heee, kumbe ni ku-spank........mambo yasha anza kabla hata novel zenyewe sijaanza kuzisoma, watanikoma kwenye maspeach mbalimbali