MSAADA JAMANI UGANDA

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Jaman naombeni msaada kama nilivyo waonyesha hapo chini unakuta chuo mfano wa makerere wanafunzi wote wa E. Africa wanalipa sawa ila nashanga hii mbarara wameweka ugandan na international ina maana mtanzania atakuwa analipa kama international au???
 
Kwani Tanzania sio international????

Af mtu atakosaje Chuo Tanzania. Sema hana vigezo vya kusoma Tanzania. Kama issue ni kukosa chuo kwanini asiende Kenya anakimbilia kwa waganda wazee wa kuzoa zoa
 
Kwani Tanzania sio international????

Af mtu atakosaje Chuo Tanzania. Sema hana vigezo vya kusoma Tanzania. Kama issue ni kukosa chuo kwanini asiende Kenya anakimbilia kwa waganda wazee wa kuzoa zoa
Siyo anakimbilia Uganda hii yote ni sababu ya hela ndugu hivi unajua ada za kenya??? Harafu huyu ana CCC ambapo hata nchini mwako anaweza soma tu bila tatzo lolote ila ndio kwanza mkamuacha tena zaidi ya mara 4 mtu ameshakata tama eti ndio mnafungua MD UDSM ili iweje??? Au mnafikilia watu wote ni matajili hapa tanzania??? Eeennnnhh!!!?????
 
Haya bana, we nenda Bishop STUART MBARARA.
 
Shule shule tu, zingine mbwembwe.
We kasome achana na upuuzi wa hapa.
 
Shule shule tu, zingine mbwembwe.
We kasome achana na upuuzi wa hapa.
Umeungea point kubwa bro wanataka wote tu ng'ang'anie Tanzania sehemu ambayo mwenye 2 ya 10 anapata chuo tena MUHIMBILI KISA ANA NDUGU YAKE HARAFU MWENYE 1 YA 8 NA 9 WANAKOSA KISA COMPITION UKIULIZA HUYU MWENYE 2 YA 10 VP UNAAMBIWA ANAVIGEZO
 
KWA HAPO Mbarara ajihesabu kama international
Elimu popote duniani bora chuo kiwe accredited huko Uganda kama hauna uhakika check na TCU. Kwa kuwa ana CCC hatakuwa na tatizo na TCU.



Ni kweli gharama ni factor ya msingi na pia kila huwezi ukafikiri kuwa nchi moja ya E. Africa ni bora kuliko nchi nyingine kwa kila kitu.
Aombe pia UDSM hata kama atapata dakika ya mwisho itapendeza kwani ni fursa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…