jamani ee MTU mzima nimeitwa nikamkonectie mama flan jina TV yake flat screen aina hiyo hivyo kijasho kimentoka nimemwambia atafute vitabu ili tujarbu kusoma labda, maana mi mwenyewe nimezoea TV zetu za chogo,
Tehe teheeee kweli imekutoa kijasho maana hata huo msaada haujasema ni msaada wa kufanya kitu gani usaidiwe ili kesho ukajipinde tena ujizolee maujiko...natania tu bro. Sema kipi kimekushinda?