Kwa professionals ilikuwa mwisho miaka 28,, sasa sijui kama waliongeza au kupunguza! Mimi mkuu nilikosa kwa vile nilikuwa na 32!Jamani kuna ndugu yangu ni graduate anataka kwenda jeshini mwaka huu. Maana ndo ilikuwa ndoto yake. Kwa sasa Ana miaka thelathini mwezi wa kumi na mbili ndo atatimiza miaka 31.swali langu je usaili ukifanyika kabla haijafika mwezi wa kumi na mbili atakuwa amekidhi vigezo au watamchukulia ana miaka 31.ninaimani nimeeleweka.
Kwa professionals ilikuwa mwisho miaka 28,, sasa sijui kama waliongeza au kupunguza! Mimi mkuu nilikosa kwa vile nilikuwa na 32!
Jkt amekwenda? au anaprofessinal muhimu?
Daaah pole aiseeee.yani sifa zote uwe nazo halafu tatizo liwe umri inaboa sanaMnaposema Professional mna maanisha nini..
Yaani akiwa fundi au na degree ya fani fulani ama... Cjaelewa.
Enzi zile walikuwa wakisema professional walikuwa wanamaanisha mtu ambaye ana utaalam wa eneo fulani la kazi (kuanzia diploma na kuendelea, ingawa hata wenye astashahada nao walikuwa wanaingizwa kwenye kundi hili).Mnaposema Professional mna maanisha nini..
Yaani akiwa fundi au na degree ya fani fulani ama... Cjaelewa.
Kwanini usitengeneze tu cheti - vyeti vinavyoonesha umri ni cheti cha kuzaliwa na leaving certificates na vyote unatengeneza easy tu ukitakaSasa 31 atafikisha mwezi wa kumi na mbili.watamconsider Vp hapo
Ubashite huooo naunaaaaKwanini usitengeneze tu cheti - vyeti vinavyoonesha umri ni cheti cha kuzaliwa na leaving certificates na vyote unatengeneza easy tu ukitaka
Hapo umri alio nao ina bidi awe na professional ambayo inakuwa ni order.Mnaposema Professional mna maanisha nini..
Yaani akiwa fundi au na degree ya fani fulani ama... Cjaelewa.
Una undugu na RC?Kwanini usitengeneze tu cheti - vyeti vinavyoonesha umri ni cheti cha kuzaliwa na leaving certificates na vyote unatengeneza easy tu ukitaka
Watu wanazungumza maisha, mnaleta miporojo yenu ya siasa - mtaolewa soonUna undugu na RC?
Kweli bana mavyeti yanapatikana hata mimi nilitengeneza languKwanini usitengeneze tu cheti - vyeti vinavyoonesha umri ni cheti cha kuzaliwa na leaving certificates na vyote unatengeneza easy tu ukitaka
Watu wanazungumza maisha, mnaleta miporojo yenu ya siasa - mtaolewa soon