ni mara yangu ya kwanza kujiunga jf baada ya kuchoka kusoma post kama mgeni,ombi langu kwenu ni kuwa natafuta housegirl muathirika wa ukimwi ,yeyote mwenye kuweza kunisaidia ani pm asanteni
duh!..haya wee. Karibu Jei efu. unyanyapaa sasa huu at work. btw si uende kwenye vituo vinavyowasaidia walipata maambukizi ya VVU uwasilishe ombi lako? kule ni rahisi kumpata ila kwa hapa nadhani itachukua muda sana
Inaelekea mumewe ni mtu wa totoz so akiwa ameathirika anaondoa ule uwezekano wa mumewa kumla! tahadhari: kama mumeo atasema potelea mbali akapiga kavukavu na ww kwishney " be eyez""