msaada jamani okoeni jahazi, hii pc inazingua!!!

kholo

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
413
75
wadau wana jamvi natumai mmeamka uzur, naombeni msaada wenu kuokoa jahazi kwan kila kunapokucha hii pc inazid kuwa slow tofauti na siku za nyuma kabla sijainstall avira ant virus nakui scan. Please naombeni msaada wenu nifanyeje? Natanguliza shukran wakuu
 
kama mdau aliyetangulia alivyopendekeza nadhani ni wazo zuri katika mashine hiyo, pia ni muhimu sana ukafanya backup ya vitu muhimu kuondoa usumbufu incase utaamua kuformat hard disk
 
Nashangaa siku hizi watu wanapolalamika kuhusu Virus; kama unatumia microsoft window, weka microsoft security essential. Microsoft amejitahidi kupunguza tatizo la virus.

Ushauri mwingine, usikimbilie ku-format computer; watu wengi hupenda majibu mepesi kwa maswali magumu. Operating system ya microsoft inakupa nafasi ya kuirudisha nyuma computer yako (System Restore). Unaweza kuirudisha nyuma computer yako hata mwezi mmoja uliopita ambapo ilikuwa inafanya kazi kwa speed nzuri.
 
dah! Ahsante mkuu, naomba unielekeze namna ya kuirestore
 
Washa computer yako, inapowaka bonyeza bonyeza F8 itakuleta option ya kuboot chagua Safe Mode...computer ikiwaka chagua Account ya Administrator mara nyingi hainaga Password au kama una password ya Administrator tumia account ya Admin..computer ikishawaka ikikuuliza Do want to Continoue in Safe Mode click No itakuleta Restore points zilizopo nawe unachagua unayoitaka
 
ok, thanks! Ila kwa sasa umeme umekatika, ukirudi nitajaribu kufanya hili zoez
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom