BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Hakunagga replacement ya mpenzi jamani,, wa zamani ni mkali na ana haiba ya uanamke sana,, kila m1 humu akimuona lazima acmamishe mnara hata km dem mwenzie, nilikua najidaia sn asee
Hakunagga replacement ya mpenzi jamani,, wa zamani ni mkali na ana haiba ya uanamke sana,, kila m1 humu akimuona lazima acmamishe mnara hata km dem mwenzie, nilikua najidaia sn asee
Maamuzi yapo kichwani mwako kama unampenda msamehe kutoroka kitu gani, wengine wanatorokwa baadae wanakutana mwanamke ana mtoto wa mwanaume mwingine lakini wanasamehe wanarudiana na maisha yanasonga. Moyo wako unaonesha unampenda sana hivyo ukichukua mrembo mpya utajiumiza moyo zaidi kuliko ukimrudia huyo alietoroka. Cha msingi hapo kupima HIV.