0123456789
Member
- Jan 1, 2014
- 68
- 8
Mimi Nilikuwa Na Sign In Kwenye Akaunt Ya Gmail Baada Ya Ku Sign In Wakaniambia Niingize Namba Ya Simu Ku Verify Account.Sasa Kitu Kila Nikiingiza Namba Ya Simu.Message Inakuja This Phone Number Has Been Used Several Time For Verification.Kila Namba Nayo Iweka Message Hii Inakuja Kwa Hiyo Nimeshindwa Kabisa Ku Recovery Gmail Account Licha Ya Kwamba Password Nazijua.Na Namba Ya Simu Niliyo Fungulia Gmail Account Ninayo.Jamani Naombeni Msaada Wale Ambao Wanajua Njia Nyingine Za Ku Recovery Account.