So ur advice nitafute architect mwingine au?
Habari zenu wanajf
Katika pitapita zangu mtaani kuna nyumba moja imenivutia sana kwa jinsi ilivyojengwa,ni nyumba ya gorofa moja, mchoro wake na design yake vimenivutia sana.
Tatizo ni kwamba je naupataje mchoro wa hiyo nyumba au basi hata architect aliyechora huo mchoro kwasababu nimejaribu kufatilia nimeambiwa mwenye nyumba sio mtu ambaye anapatikana kirahisi na kusema labda nipige picha hiyo nyumba kuna walinzi pale 24/7 wanaweza kuanzisha msala. Pia nimejaribu kumleta architect labda aione kwa nje ajaribu kuchora lakini imekuwa ngumu kwani view nzuri ni lazima uwe kwa ndani so ikawa ngumu kuchora from outside plus kuna ukuta mrefu sana.
Wadau,najua tumeshawahi kuona nyumba nzuri na ukavutiwa na mchoro wake,je ulifanyaje kupata huo mchoro?
Nawasilisha..
Mkuu nisingekushauri u-copy mchoro wa mtu, kwanza it is elegal, pili haina maana mambo ya kizamani kujenga nyumba "kama ya flani", ukimpata aliyechora hiyo ramani amini atakuchorea ramani tofauti kabisa na hiyona utaipenda kuliko hiyo, hiyo ndiyo kazi ya wasanifu majengo! Jaribu kupeleleza hata mafundi walioijenga watajua ni nani alichora, la sivyo usiwe muoga mtafte huyo mwenye nyumba hiyo umuulize ni nani alimchorea, hata kwa simu nina imani atakuelekeza! Ukishindwa kabisa tafuta mchoraji mwingine ambaye yuko vizuri umwelekeze ndoto zako mfanye kazi pamoja naamini mtatoa kitu kizuri. Mambo ya copy-paste yalikuwa kitambo mkuu, enzi za mijengo ya "msumbiji" sasa hivi kila mtu anatakiwa awe original.
Habari zenu wanajf
Katika pitapita zangu mtaani kuna nyumba moja imenivutia sana kwa jinsi ilivyojengwa,ni nyumba ya gorofa moja, mchoro wake na design yake vimenivutia sana.
Tatizo ni kwamba je naupataje mchoro wa hiyo nyumba au basi hata architect aliyechora huo mchoro kwasababu nimejaribu kufatilia nimeambiwa mwenye nyumba sio mtu ambaye anapatikana kirahisi na kusema labda nipige picha hiyo nyumba kuna walinzi pale 24/7 wanaweza kuanzisha msala. Pia nimejaribu kumleta architect labda aione kwa nje ajaribu kuchora lakini imekuwa ngumu kwani view nzuri ni lazima uwe kwa ndani so ikawa ngumu kuchora from outside plus kuna ukuta mrefu sana.
Wadau,najua tumeshawahi kuona nyumba nzuri na ukavutiwa na mchoro wake,je ulifanyaje kupata huo mchoro?
Nawasilisha..
kuna architect mmoja alituchoreaga nyumba yetu ya gorofa moja, hii nyumba ni nzur sana wengi wakija tunampa namba zake na hapend kucopy lakini amewafanyia nyumba nzur zaidi ya kwetu. namba yake +255717947500 anapatikana kirahi na ni mwelewa sana...hamtashindana