Hilo sio tatizo km mtakaa na kulijadili kwa kina,
Km yeye hataki kwann ww usibadili?
Km vp fungen ndoa ya boman kila mtu aendelee kwenda kanisan kwake,
Km mnapendana kweli basi lzm mtafute njia ya kupigania penzi lenu,
Mbona mungu tunayemwabudu ni huyohuyo mmoja?tofauti ni siku tu.
Funga mkanda, kwani mambo ya imani ni magumu sana!! Pia jiandae kula viporo siku za week end kwani wasabato ikifika Ijumaa jioni hakuna kupika mpaka sabato ya bwana ipite!! Teh, teh, teh, teh!!
These kind of stuffs are outdated kabisa! Why would you want someone to change his/her religion na wewe hutaki kufanya hivyo. Who said mapenzi lazima muwe dini moja. Seems to me hakuna mapenzi hapo, you love the person for who is!
Acha mambo yako ya kizamani hayo!Biblia imesema acheni magungu na Ngano vikue pamoja!kama hujachangamana nae huyo lini nae atamjua mungu wako kama ni wa kweli kuliko wake, nalini wewe utajua kuwa mungu wake ni wa kweli kuliko wake!Mungu hakutubagua wewe unaanzaje kubagua watu wake!