Msaada jamani ni shida na multi meter model DT 9205A

Superpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
826
Reaction score
921
Jamani habarini wapendwa ni hivi juzi Kati hapo nilinunua multimeter aina ya siltron DT 9205A Sasa ninapashida wakati wakupima kiasi cha umeme kutokana na kwamba inaleta short pindi nianzapo kupima nimejaribu kwanza kwenye port ya 20A kwakuwa nimehisi kuwa umeme wa nyumbani huwa unarange 200mA nakuendelea so nikaona nitumie port ya 20A pia nimetembelea YouTube pia naye katumia port hiyohiyo ko naomba kwa mwenye uzoefu na hi multimeter anisaidie coz nimesita hata kuweka kwa port ya 20mA
16270613047857509726226399258701.jpg
 
Jamani habarini wapendwa ni hivi juzi Kati hapo nilinunua multimeter aina ya siltron DT 9205A Sasa ninapashida wakati wakupima kiasi cha umeme kutokana na kwamba inaleta short pindi nianzapo kupima nimejaribu kwanza kwenye port ya 20A kwakuwa nimehisi kuwa umeme wa nyumbani huwa unarange 200mA nakuendelea so nikaona nitumie port ya 20A pia nimetembelea YouTube pia naye katumia port hiyohiyo ko naomba kwa mwenye uzoefu na hi multimeter anisaidie coz nimesita hata kuweka kwa port ya 20mAView attachment 1864989
Yaani unakosea sana. Tena unabahati kama hujasababisha madhara.

Kupima umeme:
Waya mweusi siku zote unachomeka kwenye COM.
Na waya mwekundu unachomeka kwenye V ohm . (Port ya mwisho kulia).

Na knob (Dial) inakuwa kwenye AC range ya 700V
 
Nimeanza kukupata Sasa nikitaka kupima current ninatumia ipi 20A au 20mA
 
Na hi ndio user manual hapo kwenye current measurement ndio pana nisumbua
JPEG_20210723_211620_4422630406788369712.jpg
 
Jamani habarini wapendwa ni hivi juzi Kati hapo nilinunua multimeter aina ya siltron DT 9205A Sasa ninapashida wakati wakupima kiasi cha umeme kutokana na kwamba inaleta short pindi nianzapo kupima nimejaribu kwanza kwenye port ya 20A kwakuwa nimehisi kuwa umeme wa nyumbani huwa unarange 200mA nakuendelea so nikaona nitumie port ya 20A pia nimetembelea YouTube pia naye katumia port hiyohiyo ko naomba kwa mwenye uzoefu na hi multimeter anisaidie coz nimesita hata kuweka kwa port ya 20mAView attachment 1864989

Hebu elezea ulikuwa unapimaje hiyo current, fafanua jinsi ulivyo connect hizo multmeter leads kwenye hicho kifaa ulichokuwa ukikipima current yake.
 
Nimeanza kukupata Sasa nikitaka kupima current ninatumia ipi 20A au 20mA

Kupima current unatakiwa kuweka 20A endapo unataka kupima current ya kifaa kinachotumia umeme wa Tanesco. (natumaini hiyo mita inapima current ya AC pia)

Kupima current inatakiwa uunganishe meter in a series connection na kifaa unachopima.

Usipime current moja kwa moja kwenye soket (outlet) wala usijaribu kufanya hivyo ni hatari sana.
 
Aaah mkuu umechelewa nimeshachoma nimefanya Kama ulivyosema nisifanye kwenye hi koment ila nikitumia

Mm nilizoea multimeter yangu ya zamani hakuwahi kuwa na complication.
JPEG_20210723_215419_4882503885292670501.jpg
 
Kupima current unatakiwa kuweka 20A endapo unataka kupima current ya kifaa kinachotumia umeme wa Tanesco. (natumaini hiyo mita inapima current ya AC pia)

Kupima current inatakiwa uunganishe meter in a series connection na kifaa unachopima.

Usipime current moja kwa moja kwenye soket (outlet) wala usijaribu kufanya hivyo ni hatari sana.

Safi sana, mkuu ila ningependa kuongezea kidogo.
Nadhani hicho cha kupima current kwenye socket ndicho alichofanya, labda hajui kwamba Current hupimwa kwenye kifaa kinachotumia umeme, mfano kama anayo Soldering gun hicho ni kifaa akitaka kujua kinabeba current kiasi gani atachukua waya mbili ataziunga kwenye plug ya hiyo gun, wire mmoja atauingiza kwenye Socket na mwingine atauunganisha kwenye lead moja ya mita na lead nyingine ya mita ataiingiza kwenye socket, wakati huo hizo leads za mita zipo kwenye COM jack (black lead) na 200mA--20A jack (red lead), hapo ndipo ataseti Current ac kwenye mita na hapo ndipo atawasha Socket ili current ipite in series kwenye Soldering gun na mita, hapo sasa unaweza kusoma kwenye display kujua hiyo Soldering gun huwa inapitisha Current kiasi gani.

Current huwa inapimwa kwenye vifaa vinavyotumia umeme ili kujua ni umeme kiasi gani hupita katika hivyo vifaa.
 
Aaah mkuu umechelewa nimeshachoma nimefanya Kama ulivyosema nisifanye kwenye hi koment ila nikitumia

Mm nilizoea multimeter yangu ya zamani hakuwahi kuwa na complication. View attachment 1865088

Kweli mkuu, Clamp meters ni nzuri sana kwani mara nyingi Multimeter ni limited katika kupima currents pia ni rahisi sana kuungua kama ukikosea ranges.
 
Aaah mkuu umechelewa nimeshachoma nimefanya Kama ulivyosema nisifanye kwenye hi koment ila nikitumia

Mm nilizoea multimeter yangu ya zamani hakuwahi kuwa na complication. View attachment 1865088

Eti umechelewa nimeshachoma

Kaka kwanza lazima ukubali wewe sio FUNDI

Lazima ujikubali wewe sio fundi.
Anza kujifunza. yani hujui hata kupima Voltage, Resistance na Current sasa unajua nini kwenye hiyo meter??!

Unajua tu kupima continuity mita ikilia ndo unafurahi??!

Rudi shule mkuu
 
Amna nilizoea clamp meter nilikua napima moja kwa moja nilipoenda kununua nilivyombiwa 15000 nilifurahi nikijua kuwa nimepata naafuu
 
Current (DMM iwe in series)
Volts (DMM iwe in Parallel)

Siku ya kwanza najifunza kichwa kichwa, nikashangaa tu umeme umezima 😀
 
Jamani habarini wapendwa ni hivi juzi Kati hapo nilinunua multimeter aina ya siltron DT 9205A Sasa ninapashida wakati wakupima kiasi cha umeme kutokana na kwamba inaleta short pindi nianzapo kupima nimejaribu kwanza kwenye port ya 20A kwakuwa nimehisi kuwa umeme wa nyumbani huwa unarange 200mA nakuendelea so nikaona nitumie port ya 20A pia nimetembelea YouTube pia naye katumia port hiyohiyo ko naomba kwa mwenye uzoefu na hi multimeter anisaidie coz nimesita hata kuweka kwa port ya 20mAView attachment 1864989
Tumia clamp miter na hizo wire zako za mita umechomeka sehemu sio sahihi.
Hiyo nyeusi tundu la kushoto kabisa na red la mwisho mita set hapo kwenye 20A.
 
Back
Top Bottom