Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Ahhh kwahio unamaana mchuchu wako ana mawasiliano na ex-wako...na wewe ndio ilikuwa chanzo cha wao kuachana!!Jaman, huyo dada wamefarakana, ila source n mimi, na mimi npo mbali japo mawasiliano yalikuwa active, hata kwa wazazi, ndugu na jamaa, na wametumiana sms za matusi nyingi sana, japo mimi nimepata tarifa toka kwa rafiki yetu,
miss strong nilivyoelewa mimi ex wa huyo jamaa ndo alipiga sim kumsumbua Jerda mwenye mali kwa sasa japo Jerda ndio chanzo wa wao kuachana...Kwahiyo kugombana kwao ndo umegundua kuwa ana mwanamke mwingine au?
Sijaelewa hapa labda mimi49
miss strong nilivyoelewa mimi ex wa huyo jamaa ndo alipiga sim kumsumbua Jerda mwenye mali kwa sasa japo Jerda ndio chanzo wa wao kuachana...
Msaada jaman nahc kuchanganyikiwa, nimekuwa
na mpnz wangu zaid ya 5yrz mpaka
kutambulishana, ila ndan ya 2yrz nimekuwa
nikmsadia kadl ya uwezo wangu anapokuwa
nashida kipesa, na mengne, binafsi ndan ya hcho
kpnd nikiwa na shida huwa haishiwi sababu,
kilichonichanganya zaid n baada yakupigiwa simu
na mdada aliyekuta sms zangu kwenye simu yake
I mean demu wake, nimemtumia sms zakuuliza
toka juzi nakukaa kmia mpaka leo, nimeamua
kupga simu akadai nisubiri aongee na dada yake
kapata ajali ya gari, after 5minutes akadai
nimuache kwanza, nikampigia dada yake akadai
amepata ajali ya gari ndio nikamuliza upo hospital
akadai hapana yupo nyumbani, it meanz haikuwa
seriouz sana, nahc kukata tamaha nahtaji ushauri
wenu!
Tuko pamoja atulie kwanza tuli kisha atueleze vizuri yani kama nimeelewa kama sijaelewa bado mawenge!Sijui ni mimi tu sijaelewa au kuna wengine. Hebu tuliza moyo Jerda na uelezee vizuri ili upatiwe msaada na mawazo.
Sijui ni mimi tu sijaelewa au kuna wengine. Hebu tuliza moyo Jerda na uelezee vizuri ili upatiwe msaada na mawazo.
@all, nimeongea na yule dada frndly, kanieleza mambo mengi, kamwambia akome kunisumbua na me ndo mke wake mtarajiwa, pamoja na hayo kadai anawanawake wengine watatu mitaa tofauti huko wanakoishi, huyu dar now yupo dar, me mwanza, na yule boy kagera, yule dada katoka bukoba ndo karudi dar, na anadai aliacha simu na kwenda nje ndo nikawa napga, ndo alipoamua kuangalia kwenye inbox, nakukuta sms zangu, ndo hayo.

Sasa kama unajua ana dem mwengine kwanini unapoteza muda wako Kuwa naye?