Msaada jaman nahc kuchanganyikiwa, nimekuwa
na mpnz wangu zaid ya 5yrz mpaka
kutambulishana, ila ndan ya 2yrz nimekuwa
nikmsadia kadl ya uwezo wangu anapokuwa
nashida kipesa, na mengne, binafsi ndan ya hcho
kpnd nikiwa na shida huwa haishiwi sababu,
kilichonichanganya zaid n baada yakupigiwa simu
na mdada aliyekuta sms zangu kwenye simu yake
I mean demu wake, nimemtumia sms zakuuliza
toka juzi nakukaa kmia mpaka leo, nimeamua
kupga simu akadai nisubiri aongee na dada yake
kapata ajali ya gari, after 5minutes akadai
nimuache kwanza, nikampigia dada yake akadai
amepata ajali ya gari ndio nikamuliza upo hospital
akadai hapana yupo nyumbani, it meanz haikuwa
seriouz sana, nahc kukata tamaha nahtaji ushauri
wenu!
Jaman, huyo dada wamefarakana, ila source n mimi, na mimi npo mbali japo mawasiliano yalikuwa active, hata kwa wazazi, ndugu na jamaa, na wametumiana sms za matusi nyingi sana, japo mimi nimepata tarifa toka kwa rafiki yetu,
Jaman, huyo dada wamefarakana, ila source n mimi, na mimi npo mbali japo mawasiliano yalikuwa active, hata kwa wazazi, ndugu na jamaa, na wametumiana sms za matusi nyingi sana, japo mimi nimepata tarifa toka kwa rafiki yetu,
Wanabodi mnawahi sana kuhukumu pengine tungefahamu za kuwa wachumba kwa miaka 5,sababu zinakuwepo pengine za msingi,mfano ni mwanajeshi anamalizia ile miaka 5 ya service Kabla ya kuruhusiwa kuoa,n.k.
Pole sana kwa maumivu Kama ana "demu" mwingine Kama ulivyosema sasa hapa Taa nyekundu itakuwa imewaka,tengeneza miadi ya kukutana na kuzungumza naye,natambua katika hili atakuwa na kiburi,stand firm and bold Kama haji,fasten your belt its time to go.