Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 248
Wakuu, natumia Tecno P6, nikiingia playstore na kui search game ya mpira ( Pro evolution soccer 2018 ) inakuja kwenye list ila hainiruhusu niinstall na badala yake nakuta ujumbe ( Your device is not compatible with this version )
Nimehangaika sana nimeshindwa. Naomba wajuzi ajue mbinu za kuiinstall anijuze jamani. Ndio, najua shida ni android version, ila hakuna njia za kuniwezesha nkapata hili game. Naipenda sana jamani. Msaada please!
M, barikiwe