Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
asante sana mkuu Tuko ..nimekupata vizuri sana ubarikiwe ndugu..na ushauri wako sitauacha..Kidogo kidogo tu atakua nayo. Bora iwe kubwa akikua itamtosha kuliko iwe ndogo akikua impwaye. Wengi wa wadada hasa kama sio wazoefu wa ngono wanaumia mwanzoni wanapokutana na wanaume wenye maumbile makubwa lakini baadae wanazoea. Cha muhimu jitahidi tu kwenda nae polepole, usianze kuonyesha maufuuundi...
hapana mkuu ile kitu huwa inarudiHaya Bwana Mtakatifu, mi nakushauri mpe dozi taratibu taratibu kisha atazoea, lakini ujitahidi uoe mkuu maana, wenye zakari zakutisha ni wachache sana hivyo wale ma ex gf wako unakuwa umeshawaaribu maana inakuwa ngumu kupata mwenye size kama yako hivyo unawafanya vibamia kuogelea ktk bahari.
asante sana mzee wa rulaKiukweli msikilize mpenzi wako kama anasema anaumia jua ni kwelo anaumia. Halafu elewa wanawake kama ilivyo wanaume nao wanamaumbile tofautoia tofauti hivyo huenda huyo mchumba wako yuko tofauti na hao waliotangulia aisee. Kuhusu wanawake kukujibia hilo swali lako kama vibamia au laa hutapata majibu yatakayokusaidia na huyo mchumba ako. Kaeni chini mkubaliane kama uweke pete sawa maana standard ya dhakari ni 5 - 6inch.
Sahihi mkuu yeye anafikiri kuwa atazoea au itatanuka na kufiti. Namkumbusha tu basi wanawake wote walizaa wamgeachika kama hali ingekuwa hairudi kama awali.hapana mkuu ile kitu huwa inarudi
Aah! leo rafiki umekuja kwa gia hii ? usijali unaweza kupata mmoja aliyevutiwa na thread yako lakini isije kuwa tofauti ukasonywa bure hahaha!
BACK TO THE TOPIC: bwana maumbile yapo tofauti mwenye kubwa atapata mwenza mwenye kubwa na mwenye ndogo atapata mwenye ndogo,ndio maana napinga hii dhana ya eti msifanye mpaka siku ya honeymoon matokeo yake karaha badala ya raha.
Kuna rafiki yangu mwenye kibamia alisumbuka sana lakini mwishowe alipata mwenye ndogo ambaye nae alikuwa anaumizwa kila mara na wakina Ivuga na sasa wameoana wana furaha tele.
Nemo biolojia ni muhimu sana kwenye mahusiano nami ni mwanaharakati wa swala la kujaribu kabla ya ndoa ili kujua uwiano wa maumbile sio siku ya siku mmoja au wote mnajuta na mmeshachelewa,kila binaadamu atapata wa saizi yake hamna suala la 'atazoea' au 'mvumilie tu si mmeo/mkeo'.uporoto01 Du.............................. makubwa! I never knew guys do infact discuss biolojia zao with one another. I was always under the impression that mnaoneana noma
haha h....mkuu uporoto hii sio ya kutunga ni kweli ...Aah! leo rafiki umekuja kwa gia hii ? usijali unaweza kupata mmoja aliyevutiwa na thread yako lakini isije kuwa tofauti ukasonywa bure hahaha!
BACK TO THE TOPIC: bwana maumbile yapo tofauti mwenye kubwa atapata mwenza mwenye kubwa na mwenye ndogo atapata mwenye ndogo,ndio maana napinga hii dhana ya eti msifanye mpaka siku ya honeymoon matokeo yake karaha badala ya raha.
Kuna rafiki yangu mwenye kibamia alisumbuka sana lakini mwishowe alipata mwenye ndogo ambaye nae alikuwa anaumizwa kila mara na wakina Ivuga na sasa wameoana wana furaha tele.
nimeongea tu hivyo lakini sikukmaanisha selfishness...and im not that against to wear that pete ...i jus dont think that its comfortable to move around and hanging around with pete.uporoto01
Du.............................. makubwa! I never knew guys do infact discuss biolojia zao with one another. I was always under the impression that mnaoneana noma.
Saint Ivuga
Since you by your own words umeshashuhudia mpenzi wako akiumwa for a week or so, baada ya nyie kufanya mapenzi, shouldnt you at least give the suggested ring option a chance?Apart from selfishness,"Nimemwambia anitafute dawa.............." as if this is her fault/issue only, kwani exactly what do you have against kuvaa hiyo pete? Please educate me!
huyu ni wife to be..wale wengine wote hawakuwahi kulalamika..Mtakatifu Ivuga huyu ndio yule mchumba uliyekuwa unalalamika kipindi fulani anachuliwa na rafiki yako? Au ni yule wa kihindi? Au ni lile jini la mahaba?
point taken bro!!!!Mtungue mimba azae, labda hiyo itasaidia "nambwito" kupanuka.
asante sana...kila kitu kiko poa...mbona avator umeibdilisha? style ya aden rage hio ya masilaha silaha bibiemtakatifu,nakusalimia tu. nakutakia wiki njema yenye mafanikio (sina hakika kama sala yangu ina_include hii shida yako)