KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Feb 8, 2012 #1 WanaJF habari za muda huu. Tafadhalini naombeni msaada wenu mabingwa wa simu niliweka security code kwenye hii simu lakini nimezisahau.Msaada tafadhali kwa anayefahamu master security code ya Nokia X2
WanaJF habari za muda huu. Tafadhalini naombeni msaada wenu mabingwa wa simu niliweka security code kwenye hii simu lakini nimezisahau.Msaada tafadhali kwa anayefahamu master security code ya Nokia X2
E erickmalz Senior Member Joined May 27, 2011 Posts 145 Reaction score 11 Feb 8, 2012 #2 no way,itakubidi uiformat tu.
mopaozi JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,300 Reaction score 524 Feb 8, 2012 #3 Easy itie kwenye choo uiflash tatizo litakwisha 4 good,,,,,,,,,searching network.....
KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 278 Feb 8, 2012 Thread starter #4 mopaozi said: Easy itie kwenye choo uiflash tatizo litakwisha 4 good,,,,,,,,,searching network..... Click to expand... Kama huna nia ya kumsaidia mtu bora kunyamaza kabisa kuliko kuandika ujinga kama huu hata kama nimeomba.Umri unapoongezeka utambuzi pia unaongezeka.
mopaozi said: Easy itie kwenye choo uiflash tatizo litakwisha 4 good,,,,,,,,,searching network..... Click to expand... Kama huna nia ya kumsaidia mtu bora kunyamaza kabisa kuliko kuandika ujinga kama huu hata kama nimeomba.Umri unapoongezeka utambuzi pia unaongezeka.