BM-40 OPERATOR
Senior Member
- Oct 13, 2012
- 153
- 56
mkuu CHIKIRA MTABARI account yangu ndio hii "BM-40 OPERATOR"Una akaunti yoyote katika mitandao ya kijamii?
FRANCIS DA DON hayo maswali yanapima how intelligent someone is. ama nakosea?By the way, what do those questions have to do with anything?! Ujinga ujinga tu
Nilimaanisha kuwa hilo pia ni miongoni mwa maswali kwenye interview ili waifungue waone una post nini na jinsi unavyocomment kwa hiyo watajua wewe ni mtu sahihi kwao au la! Kwa mantiki hiyo tuwe makini na vitu tunavyopost kwenye akaunti zetu kama bado tunafuta ajira za kuajiriwamkuu CHIKIRA MTABARI account yangu ndio hii "BM-40 OPERATOR"
Ah ah ah ah mkuu nimependa jibu lakoNilimaanisha kuwa hilo pia ni miongoni mwa maswali kwenye interview ili waifungue waone una post nini na jinsi unavyocomment kwa hiyo watajua wewe ni mtu sahihi kwao au la! Kwa mantiki hiyo tuwe makini na vitu tunavyopost kwenye akaunti zetu kama bado tunafuta ajira za kuajiriwa
teh teh teh teh, nimekusoma CHIKIRA MTABARINilimaanisha kuwa hilo pia ni miongoni mwa maswali kwenye interview ili waifungue waone una post nini na jinsi unavyocomment kwa hiyo watajua wewe ni mtu sahihi kwao au la! Kwa mantiki hiyo tuwe makini na vitu tunavyopost kwenye akaunti zetu kama bado tunafuta ajira za kuajiriwa
I think we need to be good people all the time na tuwe tuna comment mambo ya msingi na yanayojenga na sio wakati wa kutafuta ajira tuNilimaanisha kuwa hilo pia ni miongoni mwa maswali kwenye interview ili waifungue waone una post nini na jinsi unavyocomment kwa hiyo watajua wewe ni mtu sahihi kwao au la! Kwa mantiki hiyo tuwe makini na vitu tunavyopost kwenye akaunti zetu kama bado tunafuta ajira za kuajiriwa
Na hiyo kusema account unayotumia sio sahihi maana ni personal issues,so kama kama personal issues zako unaweza kuzika wazi,watakuamini vipi kuweza kutunza siri za kampuniNilimaanisha kuwa hilo pia ni miongoni mwa maswali kwenye interview ili waifungue waone una post nini na jinsi unavyocomment kwa hiyo watajua wewe ni mtu sahihi kwao au la! Kwa mantiki hiyo tuwe makini na vitu tunavyopost kwenye akaunti zetu kama bado tunafuta ajira za kuajiriwa
Na hiyo kusema account unayotumia sio sahihi maana ni personal issues,so kama kama personal issues zako unaweza kuzika wazi,watakuamini vipi kuweza kutunza siri za kampuni