Msaada jamani ,kwa anayeishi Uingereza tu.

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,763
Hello Gentleman and ladies, naombeni msaada wenu .Kuna Website nimepata na nataka kuagiza gari kutoka kwa hiyo website .nachoomba kama kuna mtu ambaye Anaweza kunisaidia kupiga simu Au kuwasiliana nao kama ni WAAMINIFU au ni wapiganaji ,
Asante sana .
 
Unataka kuagiza gari mkuu?Mkuu kuwa makini kuna wapiga dili wa mitandao.Kwa nini usiwasiliane na wale jamaa wanaoagiza magari???
 
acha nipite na zangu kumbe inawahusu wa uingereza tu.wakikupiga usiulize wanaoishi Tanganyika.ntarudi
 
Back
Top Bottom