Msaada jamani kuifungua hii sim

Nina msimu Kama huo nilikesha nao mpaka nimechoka mwenyew hausomi line
 
Pole sana kaka simu hizi ni za wireless za TTCL. Zilikuwa zinatumia teknolojia iitwayo CDMA ambayo kwa sasa kampuni ya TTCL imeifuta na kuletwa teknolojia mpya ya 4G. Kwahiyo hiyo simu haina kazi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…