Msaada jamani kuhusu IPTV

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Wakuu, nina app ya IPTV kwenye simu ila file la channels ( m3u ) sina. Nimetafuta sana nimekosa. Nimejaribu hata Ku Google namna ya kutengeneza m3u file ila pia nimeshindwa. Wakuu, tafadhali mwenye file yenye channels zozote za hapa nyumbani au hata za nje nitashunkuru. Tafadhali nisaidieni wakuu.
 
Unazungumzia IPTV ile ya playstore au KODI?
 
Mimi ninaomba links za iptv ya playstore
 
Mkuu habari. Nimeshindwa ku download kodi au mobdro kwenye laptop yangu.Inatumia window 7. msaada tafadhali
Kama ni mobdro katika laptop lazima u install OS mfano Phoenix nk ambayo itakuwezesha kuisntall app za Android ktk pc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…