Msaada jamani kuhusu hii kozi ya Environmental Engineering

Rosicky

JF-Expert Member
Sep 21, 2015
1,158
1,944
msaada jamani kuhusu hii kozi kwa aliekuwa anaisoma au anaeisoma au anaejua chochote kuhusu hii kozi

vp inahusika vipi na mazingira ??
unafanyakazi sehemu zipi ??
je inawezekana kujiajiri??
na je inatofauti gani na env. science??

shukrani wadau.
 
Bonge la coz ilo wewe... kujiajiri nje nje ila ikitegemeana na akili yako kama uko emplyoment minded huwezi mwenyewe mwanachama wa io coz pia na nimejiari
 
msaada jamani kuhusu hii kozi kwa aliekuwa anaisoma au anaeisoma au anaejua chochote kuhusu hii kozi

vp inahusika vipi na mazingira ??
unafanyakazi sehemu zipi ??
je inawezekana kujiajiri??
na je inatofauti gani na env. science??

shukrani wadau.
Kapige kitabu corse nzuri tu application yake ipo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom