SAID MAURID
Member
- Mar 25, 2014
- 54
- 25
wanajamii kwenye profile yangu nimeandkiwa "did not apply for higher education loan bod " iv hapa kuna nini ?
POA KAKA MAANA MOYO ULIANZA KUDUNDA DUH DUH DUH MAANA HAPO NDIYO MACHOYETUSio kwako tu tupo wengi aseh
Nadhani bado hawajaweka mambo sawa
Tatizo Mna Haraka, Subirini Wafanye Kazi Mtapata Majibu Yenuwanajamii kwenye profile yangu nimeandkiwa "did not apply for higher education loan bod " iv hapa kuna nini ?