Msaada jamani kila ninayelala nae harudi tena

thatha hata mtaani nachagua kwa kupita !kuna mwanaume mmoja huyo ndo aliwahi kunichana live kuwa nina maji mengi....
Wanajamvi kuna dawa ya kupunguza haya maji..

kwa namna ambavyo tunapata shida ya maji huku King'ong'o najua rafiki yako angemeki bingo sana....zati iz e nachuro oasisi atiii hata Dawasco hawatii ndani.

Ushauri:
Mwambie rafiki yako apunguze kuvaa selewili, kisima kitakauka tu!!
 
nilisoma mahali ningemwambia ila naogopa watu wataona ni mimi ,while am virgin with my brand new k
nipm nikuambie

brand new k eeeeh?u must b kiddin!!!!au ndo wewe mleta thread?nakutania bi dada,relax
 
Pole sana dada kwa hayo majaribu ya kitambo kidogo. Mwambie avumilie, ipo siku for you.
 
Muda wote huo hujajaribu kuona madaktari?jaribu kuwaona hawa watu wa herbals, wakushauri jinsi ya kula na na ona walimu wa ndoa wakushauri ni mazoezi yanaweza kukusaidia. kwa nini unazini? MUNGU HAPENDI.
 

Kama shida ni ukilala nae basi ukimaliza ku do usilale kaa macho mpaka kuna kucha hatakuacha kwa kuwa utakuwa hukulala nae
 
nilisoma mahali ningemwambia ila naogopa watu wataona ni mimi ,while am virgin with my brand new k
nipm nikuambie

Kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiii.... Brand newwwwwwwwwww!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Ni PM kuna sabuni ninayo inarudisha pusi ila lazima nijaribu kwanza size yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…