Tatizo ni lake mwenyewe na yeye ndie mwenye uwezo wa kutatua tatizo lake.Kuna ndugu yangu alifanya maamuzi fulani yaliyopelekea kumletea matatizo na akapitia kipindi kigumu sana.
Mwambie msongo wake was mawazo ume stretch misuli ya uso hadi kiwango Cha mwisho Cha misuli hiyo!!Kuna ndugu yangu alifanya maamuzi fulani yaliyopelekea kumletea matatizo na akapitia kipindi kigumu sana.
hali iliyopelekea kuwa na mawazo kupita kiasi.
Sasa akiwa katika kipindi hicho kuna siku alihisi kama vitone vya maji vinamwagika kichwani mwake na vikawa vinashuka mpaka kwenye paji la uso.!
Kuanzia siku hiyo kadri siku zilipokuwa zinasogea akaanza kuhisi misuli ya uso inavuta na kuachia, watu wakaanza kuhisi labda alirushiwa sijui uchawi ikabidi akapambane kweny maombi wapi, hali ikaendelea kuwa mbaya tu.
Akajaribu kwa waganga napo hamna kitu, akienda hospitali wakipima hawaoni ugonjwa wowote.
Sasa hivi hali imekua mbaya zaidi maana imefikia hatua kuna muda midomo yake inatetemeka kwa kucheza cheza yenyewe tu.
hasikii maumivu ila hiyo hali inamnyima raha na kumfanya awe mtu wa kukaa peke yake tu. Hapendi kuchangamana na watu sababu ya hali hiyo.
Nimeleta humu pengine kuna wajuvi wanaweza kuwa wanaelewa tatizo ni nini? Na linaweza kutibiwa wapi
Ahsanteni wakuu
Alipokosea ni hapa,kuanzia kwenye maombi halafu akaenda kwa waganga,yani hapo kwenye swala la imani huyo ni sifuri kabisa..Kuna ndugu yangu alifanya maamuzi fulani yaliyopelekea kumletea matatizo na akapitia kipindi kigumu sana.
hali iliyopelekea kuwa na mawazo kupita kiasi.
Sasa akiwa katika kipindi hicho kuna siku alihisi kama vitone vya maji vinamwagika kichwani mwake na vikawa vinashuka mpaka kwenye paji la uso.!
Kuanzia siku hiyo kadri siku zilipokuwa zinasogea akaanza kuhisi misuli ya uso inavuta na kuachia, watu wakaanza kuhisi labda alirushiwa sijui uchawi ikabidi akapambane kweny maombi wapi, hali ikaendelea kuwa mbaya tu.
Akajaribu kwa waganga napo hamna kitu, akienda hospitali wakipima hawaoni ugonjwa wowote.
Sasa hivi hali imekua mbaya zaidi maana imefikia hatua kuna muda midomo yake inatetemeka kwa kucheza cheza yenyewe tu.
hasikii maumivu ila hiyo hali inamnyima raha na kumfanya awe mtu wa kukaa peke yake tu. Hapendi kuchangamana na watu sababu ya hali hiyo.
Nimeleta humu pengine kuna wajuvi wanaweza kuwa wanaelewa tatizo ni nini? Na linaweza kutibiwa wapi
Ahsanteni wakuu
Alitapeliwa pesa yake yote na mganga akiamini atampa utajiri wa ghaflaAlifanya maamuzi gani hayo mbona huyataji?
Hii inafanya kazi sema haitochukuliwa uzito mno.Mwambie msongo wake was mawazo ume stretch misuli ya uso hadi kiwango Cha mwisho Cha misuli hiyo!!
Yaani anapata stroke ya misuli hiyo!!
Aanze kufanya mambo mapya yatakayomletea furaha kama massage Toka Kwa warembo katika saloon zao ili aondoe mawazo!!
Kwahiyo ndio akafanya maamuzi yapi?Alitapeliwa pesa yake yote na mganga akiamini atampa utajiri wa ghafla
Mkuu ninahisi huyo jamaa atakuwa ni wewe mwenyewe hebu nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.Kuna ndugu yangu alifanya maamuzi fulani yaliyopelekea kumletea matatizo na akapitia kipindi kigumu sana.