Msaada jamani:- hiki kifaa kinaitwaje?

Msaada jamani:- hiki kifaa kinaitwaje?

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Habari zenu wakuu, laptop yangu kwa mda mrefu imekua na tatzo la VGA yaan display huwa inakata. Nmekua nikpeleka kwa fund na huwa ana i heat ile VGA au wanaiita nvidia card. Tatizo langu n kwamba kile kifaa wanachotumia kuheat ile kitu kinaitwaje? kiko kama gun za kuchomelea bt kenyewe haugusanish na iyo nvidia ila kanatoa heat. nisaidien wakuu nimechoka kpoteza pesa kutengenezewa kitu ambacho naweza kukifanya.
 
Kina itwa brower huwa kimegawanja katika sehemu mbili za kufanyia kazi
1. kuchomea kama unataka kuunganisha kitu.
2. kupasha vitu pia unaweza kuki over heat ili kama kuna kifaa unataka kukichomoa katika vifaa mbalimbali sanasana mikanda ya simu za michina.
Nawasilisha
 
Na kama VGA inaharibika kila mara hiyo ni ishara mbaya kwa pc yako, angalia pengine operating system unayotumia haipo compatible na pc hardwares, pia jitahidi uwe unatumia regulator kuunganisha pc yako katika umeme kwani inaonekana umeme haupo stable hapo.
 
Back
Top Bottom