naomba msaada wenu mimi nimemaliza nta level 6 mwaka huu 2015 na nimepata gpa ya 3.0 shida yangu kwenye profile ile sehemu ya kuonyesha gpa inaonekana 3.5 lakini kuna wengine wanasema zao ziko vile vile je hapo amna tatizo kweli maana ata chuo sijapata na je nikipata nikienda kuripoti chuoni haiwezi kuwa shida