Decapitator JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 311 Reaction score 79 Jan 6, 2012 #1 Naomba msaada wa jinsi ya kuweka avatar kwenye profile! na jinsi ya kufanya vtu vingine kwenye jf! ndio nimeingia jf hv karibuni
Naomba msaada wa jinsi ya kuweka avatar kwenye profile! na jinsi ya kufanya vtu vingine kwenye jf! ndio nimeingia jf hv karibuni
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Jan 7, 2012 #2 Na mm nina tatizo kama lako aisee. Ngoja tusubiri
KXY JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 882 Reaction score 344 Jan 7, 2012 #3 Mhusika said: Naomba msaada wa jinsi ya kuweka avatar kwenye profile! na jinsi ya kufanya vtu vingine kwenye jf! ndio nimeingia jf hv karibuni Click to expand... Click hii link https://www.jamiiforums.com/usercp.php Ikifunguka hiyo page angalia upande wa kushoto, tafuta My Settings Click Edit Avatar. Naamini ukifika hapo na vitu vingine utaweza kufanya.
Mhusika said: Naomba msaada wa jinsi ya kuweka avatar kwenye profile! na jinsi ya kufanya vtu vingine kwenye jf! ndio nimeingia jf hv karibuni Click to expand... Click hii link https://www.jamiiforums.com/usercp.php Ikifunguka hiyo page angalia upande wa kushoto, tafuta My Settings Click Edit Avatar. Naamini ukifika hapo na vitu vingine utaweza kufanya.
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Jan 7, 2012 #4 KXY thanx, Na jee unawekeje na hiyo mesage ya kiharakati. Mfano TUKUTUKU kaandika (A friend in need is a friend indeed) Natanguliza shukrani wana JF.
KXY thanx, Na jee unawekeje na hiyo mesage ya kiharakati. Mfano TUKUTUKU kaandika (A friend in need is a friend indeed) Natanguliza shukrani wana JF.
KXY JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 882 Reaction score 344 Jan 7, 2012 #5 Hiyo ni signature, palepale tafuta Edit signature utaiona