Naomba kuuliza hivi kwa mtu aliesoma ordinary diploma in Chemistry & Biology with education anaweza kubadilisha kwenda kusoma degree ya course ingine au mpaka akaanze diploma tena ya hiyo course anayeenda kusomea
Thanks