cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,806
wakuu naomben msaada jaman! nime5umiwa sim ña kaka yangu toka china, aina ya cm ni haier ni matoleo mapya aya, ina androi ya 4.22 na ina option 2 za internet yaan 2g na 3g lakin 3g haisapot, nimejaribu ku set lkñ imeshindikana hivyo ñaomben msaada jaman. niki set 3g only hata mtandao ndio cpàt kabisa hivyo ipo kwenye 2g/3g auto