MSAADA JAMAN NAOMBAKULIZA

MSAADA JAMAN NAOMBAKULIZA

inamaana kuisha nunua ni bure wewe nikutumia
 
Wi-Fi ni namna ya kifaa kinachoruhusu kompyuta, simu za Android, au vifaa vingine kuunganika kupokea au kutuma kwenye njia ya kimtandao au kuwasiliana na vifaa vingine bila waya ndani ya eneo fulani. kuna tofauti kubwa kati ya Internet na Wi-Fi. Wi-fi inaweza kufanya muunganiko kwa sehemu husika bila ya mtandao wa internet. ila pale unapohitaji kuunganisha internet kupitia njia ya hii Wi-fi ili kupata huduma ya internet nk. Wi-fi unaweza kufananisha kama ilivyo matumizi ya Bluetooth.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom