cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,118
- 1,797
kwa wale wa taalam wa it ukiwemo chief mkwawa! nina cm yangu aina ya samsung core 350 line moja nilikuwa na down load whatsap matokeo yake ilipofikia asilimia fln cm ikazima, nilipo iwasha haikumaliza yaan inawaka inaishia kuandika neno samsung tu hai boot mpaka mwisho, je kwa anayefaham anisaidie namna ya kufanya ili niweze kuiwasha. nimebonyeza power na volume ili nipate option ya ku restore lkn imekataa