Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
mapenzi ni matam lakn ni hatari,.urafk wa mtu na mapenz ni kama umeme au moto hv vtu ni muhm sana kt maisha lakn huwez kugeuka na kuwa adui mkubw kt maisha.,.oky acha niendelee kuna jamaa yang wa karbu sn alkuw na mpenz wake miaka 6 iliyopta tena albahtk kuzaa nae na mtoto ana miaka 5 sasa,mwaka huu alipgiwa simu na rafk yake ambapo urafk wao ni ktambo sana tena ndye aliyekuwa shemej mkubwa wa yule dem wake.,we acha tu,!! naendelea..simu aliyopgiwa ilimpa mshtuko mkubw maana ilianza na neno samahan kisha ikaendelea...''najua ww ni rafk yang mpendwa ila naomb leo nikwambie ukweli kwamb yule uliedhan ni mtot wako si wako bali ni wa kwangu'' jamaa akahamak na kumpgia sim mama wa mtot naye akathbtsha huku akisstiza asamehewe..jamaa amechanganykiw mpk anafkria kujiua.,(mwenye ushauri karb)..NAWASILISHA