Original Pastor JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 1,274 Reaction score 52 Jul 31, 2011 #1 Wana JF nimejikanza nimenunua Used Iphone 3 sasa naomba Software ya Itune kwa mwenye nayo niweke kwenye computer yangu niweze kuweka music Asanteni OP, a.k.a Farasi bubu
Wana JF nimejikanza nimenunua Used Iphone 3 sasa naomba Software ya Itune kwa mwenye nayo niweke kwenye computer yangu niweze kuweka music Asanteni OP, a.k.a Farasi bubu
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,392 Jul 31, 2011 #2 kaka ingia kwenye web ya apple utaona links za kudownload itune. au andika itunes free download kwenye google utapata links kibao.
kaka ingia kwenye web ya apple utaona links za kudownload itune. au andika itunes free download kwenye google utapata links kibao.
Brakelyn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2009 Posts 1,181 Reaction score 522 Jul 31, 2011 #3 Itunes v10.4 hiyo ----> (http://filehippo.com/download/file/6d222568ffe5db2c277b905c1fc543d599e0af6a367e0a223fb796ea04204552/)
Itunes v10.4 hiyo ----> (http://filehippo.com/download/file/6d222568ffe5db2c277b905c1fc543d599e0af6a367e0a223fb796ea04204552/)