Naomba msaada wenu,Nina ipod (30GB) inawaka vizuri ila niki play audio au video hai play lakini picha naweza kuona,sasa sijui nifanyeje.nimejaribu ku connect na itunes ili ni i reset but inagoma,
unavyoiconnect kwenye pc inakuwa detected..mimi ninatouch ipod ambayo inatatizo la kutokuwa detect kwenye pc...yani ilijizima tu alafu nikataka kuicharge ikawa haiwi detected kabisa na charge haiingii...
Naomba msaada wenu,Nina ipod (30GB) inawaka vizuri ila niki play audio au video hai play lakini picha naweza kuona,sasa sijui nifanyeje.nimejaribu ku connect na itunes ili ni i reset but inagoma,
Ukishaconnect kwenye itunes inakuwa imezimwa unashikilia buton ya kuwashia na button ya katikati ya enter lazima computer itaiona ipod,kisha utafata maelekezo mengine