Kwanza inategemea unataka kumwagilia kwa njia ya matone au kwa kutumia sprinkles. kama kwa matone pump ya petrol inatosha lkn kama ni kwa sprinklers basi tumia pump za diesel.
Water pump nzuri ni zile zinazotumia Diesel, utapata unafuu wa gharama za mafuta. Pump za petrol zinauzwa bei ndogo laki 2 mpaka 3.5 lakini zinatumia mafuta mengi.
na pampu za disel M1 na zaidi zinatumia mafuta kidogo nakushauri nunua pump ya diesel kama uwezo wako utaruhusu.