Mie nitajitosa kukufahamisha. Kwanza hakikisha ya kuwa picha unayotaka kuituma iko kwenye camera ya iPhone yako. Yaani uwe umeshazipiga.
Fungua watsup app kisha kwenye contacts zako chagua uliyemkusudia kumrushia hiyo picha. Sehemu ya kuandika msg kushoto yake utaona arrow, hiyo arrow iclick.