Wadau nina simu ya iphone3, inanisumbua sana hasa ninapotaka kudownload vitu, kwamfano wakati unataka kudowload chochote inakuandikia this application require iOS4,au 5 au 6. Hivyo inashindikana. Ninakosa mambo mengi, naomba ushauri sijui chakufanya nasie wengine mambo ya IT hatuyajui