msaada iphone

msaada iphone

sumaphd

Member
Joined
May 28, 2014
Posts
13
Reaction score
2
kuna mtu ana iphone sasa anataka kurestore ili aondoe information za aliyekua anatumia lakin anaogopa kwamba inaweza kumdai apple id au pamoja na password ambazo yy hazijui sasa afanyaje?
 
Mwambie amuulize mwenye simu hizo pass word au niya moto
 
I phone bhana zimetengenezwa kwa ajili ya kununua mpya dukani ndio utafaidi iphone, lakini za mtumba au za dili android na WP ndio kimbilio.
 
kuna mtu ana iphone sasa anataka kurestore ili aondoe information za aliyekua anatumia lakin anaogopa kwamba inaweza kumdai apple id au pamoja na password ambazo yy hazijui sasa afanyaje?

Ni iPhone gani na inatumia iOs Version ipi?? Nyingine hazinaga hiyo mambo ya iCloud baada ya kurestore

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nichek wasap nikuelekeze vizuri... 0788008066. its easy!
 
Kama ina iOS 7 kwenda juu, usijaribu Ku restore, itahitaji apple Id na password ya mwenyewe, chini ya iOS 7, restore tu
 
Yaan hii kampuni ya Apple we acha tu usichezee kabisa

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Back
Top Bottom