Pole sana mkuu,
kwa uelewa wangu mdogo nilionao, nakushauri ufanye haya machache kwa uharaka.
ingekuwa rahisi sana kama umefanya family sharing, ungeweka kwenye lost mode ambavyo ingekupa urahisi wa kuweka namba yako ya simu unayopatikana ambavyo ingekuwa displayed kila simu inapowashwa.
zamani hiyo option ya kuweka kwenye lost mode ilikuwa inapatikana hata kwa kulog in kwenye icloud kupitia web browser ya computer yeyote. Bado inapatikana ila kwa sasa kuna ugumu kidogo hasa ukitumia computer tofauti naya mwanzo.
jaribu kuwasiliana na mafundi wa aggrey ndiko itaenda kuuzwa kama screpa kwa ajili ya spair accessories.
Jaribu kugoogle pia utapata mwanga mwingine.
Narudia tena Pole sana, Hizi chura hizi....!!