Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
Wakubwa za xmas, naomba msaada wenu, nina i phone 8 plus ila mpaka sasa nimeshindwa kurejesha contact zangu kupitia Gmail,
kabla ya hapo nilikuwa natumia techno na nilipokuwa narejesha acc yangu ya gmail contact zote zilikuwa zinarudi, ila imekuwa tofauti na hii Iphone, nimejaribu ila kila gmail inarejesha contact 40 tu, zingine inanitaka nilipie kupitia Visa card ili zirudi, na mm sina,
je kuna njia gani ya kuzirejesha bila ya kulipia? Msaada wenu tafadhali
Cc Mshana Jr
Thanks ngoja nijaribuNenda settings .. then password and accounts pale kwenye accounts add account yako ya gmail ambayo ina hizo contacts . Then sehem ya contacts weka on .
Hivyo tu
Nenda settings .. then password and accounts pale kwenye accounts add account yako ya gmail ambayo ina hizo contacts . Then sehem ya contacts weka on .
Hivyo tu
Tupe mrejesho kwanza mkuu,unaionaje iphone ukilinganisha na tecno uliyoipa talaka???
Umenifanya nikacheka sana...pumbafuu kabisaTupe mrejesho kwanza mkuu,unaionaje iphone ukilinganisha na tecno uliyoipa talaka???
Nenda settings .. then password and accounts pale kwenye accounts add account yako ya gmail ambayo ina hizo contacts . Then sehem ya contacts weka on .
Hivyo tu
CC : Mwl.RCTWakubwa za xmas, naomba msaada wenu, nina i phone 8 plus ila mpaka sasa nimeshindwa kurejesha contact zangu kupitia Gmail,
kabla ya hapo nilikuwa natumia techno na nilipokuwa narejesha acc yangu ya gmail contact zote zilikuwa zinarudi, ila imekuwa tofauti na hii Iphone, nimejaribu ila kila gmail inarejesha contact 40 tu, zingine inanitaka nilipie kupitia Visa card ili zirudi, na mm sina,
je kuna njia gani ya kuzirejesha bila ya kulipia? Msaada wenu tafadhali
Cc Mshana Jr
Kuna mkongwe wa fani nimemualika... Mimi hapa nabaki mpenzi mtazamajiWakubwa za xmas, naomba msaada wenu, nina i phone 8 plus ila mpaka sasa nimeshindwa kurejesha contact zangu kupitia Gmail,
kabla ya hapo nilikuwa natumia techno na nilipokuwa narejesha acc yangu ya gmail contact zote zilikuwa zinarudi, ila imekuwa tofauti na hii Iphone, nimejaribu ila kila gmail inarejesha contact 40 tu, zingine inanitaka nilipie kupitia Visa card ili zirudi, na mm sina,
je kuna njia gani ya kuzirejesha bila ya kulipia? Msaada wenu tafadhali
Cc Mshana Jr
Nielekeze jinsi ya kufuta program mfano telegram na jinsi ya kuweka bzy, iliyeyote atakayekupigia akute simu ipi bzy, na jinsi ya kuondoa email isiwe inajitokeza au kusomeka juu ya kioo ikiingia
😂 😂 yaani ame kutag, na wewe uka tag mwingine, hii kali