Bengoldstar
Member
- Apr 24, 2022
- 67
- 47
Battery life linasoma /%ngapi mkuu,,battery og ninaweza kukutumiaHabari,
Nina simu Iphone 7 plain haijamaliza hata mwezi tangu ninunue lakini inasumbua charge haitunzi kwa siku nachaji zaidi ya mara nne, nifanyeje wadau?
Betri kimeo hapo ni kubadilisha tu...sema kupata betri og napo bado ni mtihani...Habari,
Nina simu Iphone 7 plain haijamaliza hata mwezi tangu ninunue lakini inasumbua charge haitunzi kwa siku nachaji zaidi ya mara nne, nifanyeje wadau?
Betri kimeo hapo ni kubadilisha tu...sema kupata betri og napo bado ni mtihani...
Kuna kipindi nilikuwa na 6+ yan ikifika saa 6 mchana ishaisha [emoji1], ikabidi niiuze tu.
Hamna betri hapo nunua betri jipyaBetry life inasoma 69% boss
Battery life linasoma /%ngapi mkuu,,battery og ninaweza kukutumia
Kumbe 69% ni utupu na kujilisha upepo? Yani unatumia 31% tu kisha linaanza mizinguo? Kweli hilo gereza la kifahariHamna betri hapo nunua betri jipya
Habari,
Nina simu Iphone 7 plain haijamaliza hata mwezi tangu ninunue lakini inasumbua charge haitunzi kwa siku nachaji zaidi ya mara nne, nifanyeje wadau?